Ziara za Viongozi wa Taifa
Kutakua na ziara za viongozi wa Casfeta katika Mikoa mbalimbali Ya Tanzania.
CASFETA ni jumuiya ya Wanafunzi mabalozi wa Kristo Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1992. Wazo lake lilianzia kwa viongozi wa idara ya vijana wa TAG, yaani Christ’s Ambassadors (CAs). Aliyekuwa katibu mkuu wa CAs, Mchungaji Uswege Mwakisyala alikuwa ndiye mwenyekiti wa kamati ya watu watatu waliotengeneza mwongozo wa kwanza wa CASFETA. Wajumbe wengine wa kamati hiyo ni Joseph Justine na ndugu Godfrey Mdoe....
CASFETA ni jumuiya ya Wanafunzi mabalozi wa Kristo Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1992. Wazo lake lilianzia kwa viongozi wa idara ya vijana wa TAG, yaani Christ’s Ambassadors (CAs).
MKURUGENZI
CASFETA imenisaidia kuongeza kiwango changu cha kufunga na kuomba pamoja na uongozi.
Aliyekua Mwanafunzi
Idara ya Casfeta ilinisaidia kua na ujasiri wa kuhubiri mbele za watu wengi.
Mwanafunzi