Karibu katika tovuti ya Casfeta

Casfeta ipo kwa ajili yako kuhakikisha unakua na kuongezeka kiroho na Kimwili pia.

CASFETA ni jumuiya ya Wanafunzi mabalozi wa Kristo Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1992. Wazo lake lilianzia kwa viongozi wa idara ya vijana wa TAG, yaani Christ’s Ambassadors (CAs). Aliyekuwa katibu mkuu wa CAs, Mchungaji Uswege Mwakisyala alikuwa ndiye mwenyekiti wa kamati ya watu watatu waliotengeneza mwongozo wa kwanza wa CASFETA. Wajumbe wengine wa kamati hiyo ni Joseph Justine na ndugu Godfrey Mdoe....

Rev. Sadiki Ezron

Mkurugenzi

Miaka 30

Mpaka sasa

MATUKIO YAJAYO

Ziara za Viongozi wa Taifa

Kutakua na ziara za viongozi wa Casfeta katika Mikoa mbalimbali Ya Tanzania.

Maombi

Kutakua na maombi ya masaa 24 kwa wanachama wote wa Casfeta Tanzania nzima.

Makongamano

Kutakua na makongamano ya Casfeta kwa taifa zima la Tanzania katika mikoa yote.